JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

Nami nalaani binafsi simu yangu ilifanyiwa udukuzi nakuibiwa baadhi ya nyaraka zangu pia kuharibu picha nyingi nilizokuwa nazo hasa nakala za matokeo..Mungu atawaona.
 
Nami nalaani binafsi simu yangu ilifanyiwa udukuzi nakuibiwa baadhi ya nyaraka zangu pia kuharibu picha nyingi nilizokuwa nazo hasa nakala za matokeo..Mungu atawaona.

Jiandaeni mkumbuke aliyewadekeza kashasepa, sahivi ni kazi tu.
 
What a coincidence wakati wa uchaguzi tuuu ndo jf imekuwa attacked!! Kiukweli.walifanikiwa maana tulikuwa hakuna pa kupata habari za uchaguzi matokeo hususan mliwauzi sana mlipoanzisha kila mkoa na uzi wake juu ya yanayojiri na matokeo
 
Mbona mnakuwa na hofu ya kumtaja aliyewashambulia wakati anajulikana na aliyemtuma pia?

ddos a wanahack computer 50,000+ ili zote kwa pamoja zitumie huduma za jf ni kama sisimizi wanamshambulia nyoka huwezi kusema yupi kaua nyoka.
 
Nadhani kukamatwa kwa vijana wa IT, kuvamia ofisi za LHRC na JF kuwa hacked vina uhusiano kukiwa na lengo la kuzuia jamii kupata taarifa huru kinyume na zile za NEC.

Kwa upande mwingine sioni kwa nini niwape pole maana mlionekana mko upande wa team 'nchi haitolewi kwa karatasi' ndio mjitambue sasa.

naunga mkono hoja!!!!!! ila nawapa JF pongezi pia
 
Kama mna kitu muhimu kama matokeo ya uchaguzi wekeni kwenye Facebook page halafu tuone kama wata DDOS Facebook.
 
Nadhani kukamatwa kwa vijana wa IT, kuvamia ofisi za LHRC na JF kuwa hacked vina uhusiano kukiwa na lengo la kuzuia jamii kupata taarifa huru kinyume na zile za NEC.

Kwa upande mwingine sioni kwa nini niwape pole maana mlionekana mko upande wa team 'nchi haitolewi kwa karatasi' ndio mjitambue sasa.

Asante, kumbe nawe umeliona!!
 
Wakina "mwanakijijit" bila shaka wanahusika maana wanawajua vyema
 
Sasa nimeamini kweli kuna siri kubwa na matokeo ya uchaguzi huu.
 
Kwa Jinsi Mlivyokuwa Mmejipanga Kutoa Matokeo Kila Kituo Na Kwa Kila Mkoa Ilikuwa Lazima Wawafanyizie,nchi Ngumu Hii
 
Walaaniwe kwa nguvu zote wale wenye nia ya kulawiti na kukandamiza Demokrasia hapa nchini.
Pia naomba JF itoe tamko rasmi la kulaani kukamatwa kwa wanaharakati wa mtandao akina Yerico Nyerere na wenzake! Hawa ni wanaJF wenzetu.
 
Back
Top Bottom