JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

JamiiForums na FikraPevu, walaani nguvu inayotumika kuzuia uhuru wa maoni

na wao waache kuremove remove post za watu kwani hata huko nako na kuzuia uhuru wa maoni.
 
Sasa baada ya ilo shambulio mmejipanga Vipi na mashambulio mengine ya mwezi October 2020,
Au mnasubiri tena attack ndo muwaze ku defence?
 
Acha kuturudisha nyuma sisi tunapiga speed ya maendeleo.sio majungu,unauhakika gan.kama walihack na.kama una uhakika huo si fata taratibu establish grounds zako nenda,unataka kuleta issue za uchaguz ambazo zimepita hayo ni.mawazo mgando,tumepata rais wa tanzania subiri siku zingine
Huu tunauita uharo
 
Back
Top Bottom