Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kuna mada niliweka hapa kuhusu tabia hii ya mtindo wa ukamataji au kiufupi ni utekaji ambao ukijiambatanisha wasio julikana.
Kwa haya wanayofurahia na mtindo wanaotumia nilisema kuna siku kutatumika kama person ndani ya jeshi asilimia kubwa na ndogo itakuwa kwa wananchi.
Tusipo likemea na kuzibiti idara za tanpol na Tiss basi tutegemee hata waziri anaweza kutekwa kwa maamuzi ya mtu mwengine.