Mkuu sijakuelewa!π€Sasa wameanza kutekwa kwa kasi watoto wa miaka miwili hadi kumi.Mwanzo wa ngoma ni lele!
Watoto wanatekwa na nani na wewe!Sasa wameanza kutekwa kwa kasi watoto wa miaka miwili hadi kumi.Mwanzo wa ngoma ni lele!
Sasa hapo umekataa nini halafu unaendelea kueleza kipi?Au ilimradi umekataa na kukubali?Watoto wanatekwa na nani na wewe!
Hao wanaibiwa.., hii michezo ya kuiba watoto ipo miaka yote ndugu, ukiwa mzembe wa kuchunga mazingira ya mtoto wako au kufuatilia nyendo zake⦠yupo na nani au anapenda kucheza maeneo gani utalia.
Kutekwa, kuibiwa. Tofauti ni ipi?Watoto wanatekwa na nani na wewe!
Hao wanaibiwa.., hii michezo ya kuiba watoto ipo miaka yote ndugu, ukiwa mzembe wa kuchunga mazingira ya mtoto wako au kufuatilia nyendo zake⦠yupo na nani au anapenda kucheza maeneo gani utalia.
Fuatilia taarifa za habari.Kuna watoto wametekwa na kuuwawa mikoa ya kusini na haileweki wanatekwa na kuuwawa kwa nini!Mkuu sijakuelewa!π€
Ndio nimeiona sasa hivi nimeumia sana!Fuatilia taarifa za habari.Kuna watoto wametekwa na kuuwawa mikoa ya kusini na haileweki wanatekwa na kuuwawa kwa nini!
Hatari hiyo!Ndio nimeiona sasa hivi nimeumia sana!
Okay!Sasa hapo umekataa nini halafu unaendelea kueleza kipi?Au ilimradi umekataa na kukubali?
Mkuu kuna habari inasambaa mtoto katekwa na kunyongwa huko mtwara, unataka isizungumziwe kabisa au?Okay!
Kwenye swala la kuiba watoto, walio wengi huwa hawana watoto⦠wamehangaika mpaka wakaishia kuona the best alternative ni kuchakarika mtaani na kuiba.
Nyie mnaojitia mnataka kutunishiana misuli na walioshika mpini ndo mnaishiaga kutekwa. Naamini hakuna anayetekwa bila sababu!
Wewe mbona unaleta stories za kiwaki?Hivi unafuatilia habari au unakuja ukiwa tayari una yako kichwani?Wale watoto watatu wenye miaka kati ya minane hadi kumi waliouwawa siku zaidi ya mbili zilizopita Una taarifa zao?Okay!
Kwenye swala la kuiba watoto, walio wengi huwa hawana watoto⦠wamehangaika mpaka wakaishia kuona the best alternative ni kuchakarika mtaani na kuiba.
Nyie mnaojitia mnataka kutunishiana misuli na walioshika mpini ndo mnaishiaga kutekwa. Naamini hakuna anayetekwa bila sababu!
Sisi ndo tunaoziripoti hizo habari ndugu πWewe mbona unaleta stories za kiwaki?Hivi unafuatilia habari au unakuja ukiwa tayari una yako kichwani?Wale watoto watatu wenye miaka kati ya minane hadi kumi waliouwawa siku zaidi ya mbili zilizopita Una taarifa zao?
Nimesema hivyo?Mkuu kuna habari inasambaa mtoto katekwa na kunyongwa huko mtwara, unataka isizungumziwe kabisa au?
Basi kama huna taarifa uwe unatulia kama unakuna nazi.Sisi ndo tunaoziripoti hizo habari ndugu π
Unataka kusemaje? Point yako haijitoshelezi! Watoto wanacheza, mmoja kaibiwa kaenda kunyongwa unataka mzazi alaumiwe kwamba awe anamlinda mtoto, wale wengine waliobaki hawana wazazi?Nimesema hivyo?
Ahsante nakushkuru kwa matusi yako ya rejareja πππΎBasi kama huna taarifa uwe unatulia kama unakuna nazi.
Kaa utulie kama hauna jipya.Ahsante nakushkuru kwa matusi yako ya rejareja πππΎ