JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!

sexologist,
andaa mkutano tu meet venue maduka mengi then usiku tunaingia bakurutu kucheza disko..lol
karibuni sana ngokolo..
 
waarabu na pajero wasukuma na baiskeli,all the best
 
sexologist,
andaa mkutano tu meet venue maduka mengi then usiku tunaingia bakurutu kucheza disko..lol
karibuni sana ngokolo..

Poa mkuu ntaandaa mkutano tu... no noma... kwa sasa nipo maduka mengi bakurutu navuta mida nianze kuitumia vizuri wikienda mazee...
 
...Karibu Dume la Kanda a k a shybush bweni la chui.. karibu na bonde la miwa the highway to Ganzo....
 
Karibuni maganzo, lkn pia home shy Tambukareli..Fikira za kujenga na cyo kubomoa , Utaifa mbele mambo ya itikadi baadaye
 
hahaa pamoja sana from chuga wing sasa shinyanga nafkiri nawafundisha watoto na wadogo zenu wanaosoma sekondari karibuni Mwasele
 
hi wanaJF niko Kishapu - Shinyanga, karibuni sana tuchange mawazo ya kuiendeleza shy yetu!
 
Yeyoooooh!!
Shinyanga muupoooo??
tatizo uzi umeingiliwa na wasio wana-shy, wanapost irrelevant!
 
Yeyoooooh!!
Shinyanga muupoooo??
tatizo uzi umeingiliwa na wasio wana-shy, wanapost irrelevant!

Mkubwa wewe uko Shy??? Ni napatikana Mwasele misele uswahilini..... Vipi leo NSSF kwa Mzee Yusuph Jahaz Modern. Utakuwepo???
 
Shy iko poa nilikuja hapo juzi tu nikafikia Nyakahara hotel. Hamjambooo....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…