Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!
sexologist,
andaa mkutano tu meet venue maduka mengi then usiku tunaingia bakurutu kucheza disko..lol
karibuni sana ngokolo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JF Shy!!
Mi' ni jirani yake baba Blandina Chagula (Johari),Ngokolo AIC.
karibu mwadui, ulaya ndogo
hi karibu sana KISHAPU pamoja tuijenge umpya shinyanga.
sexologist,
andaa mkutano tu meet venue maduka mengi then usiku tunaingia bakurutu kucheza disko..lol
karibuni sana ngokolo..
msiache kuwafikia walioko ukenyenge
Yeyoooooh!!
Shinyanga muupoooo??
tatizo uzi umeingiliwa na wasio wana-shy, wanapost irrelevant!