JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

JamiiForums Shinyanga wing: Ingia humu tujuane

Dah...long time sana Shy town, maeneo ya Nguzonane kipindi hicho!! I miss you Shy town
 
Dah...long time sana Shy town, maeneo ya Nguzonane kipindi hicho!! I miss you Shy town
 
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
Wasukuma utawajua tu na utawaona kwa mambo yao. Utadhani wanagombaniana magwangala
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji4]
 
Hadi Butuli Mkuu Jf ipo bila kusahau Longaloniga....
pamoja sana mkuu hayo yalikuwa maeneo yangu ya kuchungia ng'ombe miaka ya 90, ila wamasai wanaiba balaa, nasikia hadi saivi wanaiba japo ng'ombe wamepungua.
 
Maswa/Bushitala Village huku karibuni.
Nimepita jana hapo nikitokea Lalago,Bushitala,mbaragane,kizungu,nikaingia kushoto kutokea Mwabomba mwabaraturu nikatokea isanga njia panda ya kwenda Seke ididi,
 
Ukenyenge kwetu huko mkuu
Wiki ijayo nimepanga kuja huko Ukenyenge,ila nitapitia njia ya Shagihuilu,mwamalasa,mwabuzo,masanga,mpaka ngofila ili nitokee ukenyenge...hapo nakuwa nimetokea Meatu kupitia imalaseko,mwamanoni,wamanongu,mwamatiga mpaka kufika Ukenyenge....
 
mdanganye tu. kuna gamboshi huko
Mwezi uliopita nilikuwa gamboshi,nilitokea kijiji cha mahembe nikapita Zanzui,luguru,mwamapalala nikaingia bariadi mjini nikashika Nguliati line mpaka gamboshi,ila nilipita kuwaona wa kina chenge na cheyo maeneo ya Gambasingu na budalabujiga
 
Old Shy kitambo mkuu kuna mzee wangu hapo askar mstaafu Mzee Alex maarufu mzee Mwarabu
 
Back
Top Bottom