ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
SAFI UMEWEKA KITU KIZURI SANAHii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SAFI UMEWEKA KITU KIZURI SANAHii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
Wasukuma utawajua tu na utawaona kwa mambo yao. Utadhani wanagombaniana magwangalaHii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
Du JF imefika mbali hadi tindabuligi! ukitoka hapo unaenda kwetu sakasaka mha ha ha aHadi huku IPONANA BHOLO-MWANDOYA na TINDABULIGI Tunaipata JF.
Hadi Butuli Mkuu Jf ipo bila kusahau Longaloniga....Du JF imefika mbali hadi tindabuligi! ukitoka hapo unaenda kwetu sakasaka mha ha ha a
pamoja sana mkuu hayo yalikuwa maeneo yangu ya kuchungia ng'ombe miaka ya 90, ila wamasai wanaiba balaa, nasikia hadi saivi wanaiba japo ng'ombe wamepungua.Hadi Butuli Mkuu Jf ipo bila kusahau Longaloniga....
Ha ha ha, Nhobola kishapu, nimekulia huko, maji tulikuwa tunafuata mnazininiko nhobola kishapu
Ukenyenge kwetu huko mkuuKishapu/ukenyenge mojaa hapa karbuni sanaa
Nimepita jana hapo nikitokea Lalago,Bushitala,mbaragane,kizungu,nikaingia kushoto kutokea Mwabomba mwabaraturu nikatokea isanga njia panda ya kwenda Seke ididi,Maswa/Bushitala Village huku karibuni.
Wiki ijayo nimepanga kuja huko Ukenyenge,ila nitapitia njia ya Shagihuilu,mwamalasa,mwabuzo,masanga,mpaka ngofila ili nitokee ukenyenge...hapo nakuwa nimetokea Meatu kupitia imalaseko,mwamanoni,wamanongu,mwamatiga mpaka kufika Ukenyenge....Ukenyenge kwetu huko mkuu
Mwezi uliopita nilikuwa gamboshi,nilitokea kijiji cha mahembe nikapita Zanzui,luguru,mwamapalala nikaingia bariadi mjini nikashika Nguliati line mpaka gamboshi,ila nilipita kuwaona wa kina chenge na cheyo maeneo ya Gambasingu na budalabujigamdanganye tu. kuna gamboshi huko
Karibu old shy, huku jeshini.. Ukileta zako unachezea kipondo.
Old Shy kitambo mkuu kuna mzee wangu hapo askar mstaafu Mzee Alex maarufu mzee Mwarabu
Karibu apa MEATU mwanuzipamoja sana mkuu hayo yalikuwa maeneo yangu ya kuchungia ng'ombe miaka ya 90, ila wamasai wanaiba balaa, nasikia hadi saivi wanaiba japo ng'ombe wamepungua.