mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
Ikiwa tunaelekea kuufunga mwaka, sisi kama member wa jamiiforums tunachagua celebrity aliyefanya vizuri kwa mwaka mzima na tutamkabidhi tunzo maalum.
Sasa naomba tupendekeze ni nani anafaa kupewa hadhi hiyo na sisi great thinkers kwa mchango wake kwa mwaka huu wa 2014.
Aya ni mapendekezo yangu kwa baadhi ya mastaa wanahostahili tunzo ya JF.
1. DiamonPlatnumz (kaipush bongofleva)
2. Millard Ayo (mtangazaji mchapakazi)
3. Salama Jabir (mbunifu na mwanamke jasiri)
4. Wema Sepetu ( mwigizaji mwenye mvuto)
5. Salum Kikeke (mtangazaji mwenye ushawishi)
Pendekeza jina hapa litalopendekezwa zaidi ndio kamati itamtangaza mshindi kabla hatujafunga mwaka.