JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Mkuu kuna nyuzi mbili niliingia leo
Mmoja wa masingle maza mwingine wa wanaume suruali yaani nilicheka ikabidi nianzishe hii thread [emoji16][emoji16][emoji16]


Kuna single maza mmoja alianza kutaja mistari ya biblia hadi nikasema huyu atakuwa sister aliyepewa mimba maana sio kwa u deep ule[emoji3][emoji3]

Jamaa mmoja naye kwa ule uzi wa Me suruali yaani acha tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee
 
Mrembo saana yule na lazima atakuwa miss bantu tu, si mwandiko wake unaonyesha.
Sasa hajakuimbia kwa ile sauti yake ya kipoole na ya chini...wallah utaweza piz hapo hapo

Mimi huwa hata akiniita tu jina langu, la haulah...

Wabillah Tawfiq,
 
Back
Top Bottom