JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

Mimi Bado sijaelewa hapo kwenye copy ya ID yenye majina yanayotakiwa kuwa verified, kwamba hiyo ID ikoje au ni ipi kwani ninachojua Kuna aina nyingi za ID kama vile ID ya taifa, shule, kazi, kura, NSSF, Chama n.k

Bado sijaelewa hapa naombeni ufafanuzi zaidi maana nishajaribu ku request verification badge zaidi ya mara 5 lakini naambulia patupu
 
Back
Top Bottom