Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified.
Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari yako. Unaweza kusoma Sera yetu ya Faragha kama una concerns zozote > Privacy policy ambayo ina ufafanuzi wa kina.
Kwa wanaotaka kuwa verified, utaratibu utakuwa kama ifuatavyo:
Utabonyeza (ukiwa kwenye web browser) sehemu imeandikwa Account, kisha fuata utaratibu huu:
View attachment 1897917
Utabonyeza "Request Verification Badge". Utaweza kuona sehemu inakuja na eneo la kuweka ujumbe wa kuwasiliana nasi ukiambatanisha na copy ya ID inayothibitisha majina unayotaka yawe verified ni yako
View attachment 1897898
Ukishatuma request, vumilia kidogo kwani itakuwa processed na ikiwa ina changamoto progress itaonekana kwako baada ya sisi kuwasiliana nawe kuhusu ombi lako.
Profile yako au ya mdau mwingine, ukipeleka cursor itaonyesha maandishi haya (mfano):
View attachment 1898044
ILANI:
1) Kwa waliokuwa verified awali, huna ulazima wa kufanya mchakato huu, lakini ikikupendeza kujaribu - UNAKARIBISHWA
2) Unaweza kuwa verified ukiwa na ID yako ya JF (not a real name) endapo tutajiridhisha kuwa ID ni mtu tunayefahamiana naye na maudhui ya akaunti yake hayashushi hadhi ya badge husika; mfano wa waliokuwa verified kwa IDs kawaida ni Bujibuji na Madame B.
Wanachama ambao ni VERIFIED wataonekana hapa: Verified Members
NB: Napokea requests nyingi za kubadili majina, tafadhali fanya hivyo mwenyewe kwa kutembelea https://www.jamiiforums.com/account/username
Asante
Labda kama ni Kigogo2014 variants 😛😛😛😛hii kitu kwangu mimi inakaukakasi labda kwa wenzangu
Labda kama ni Kigogo2014 variants 😛😛😛😛

Wewe tayariSanaa Mkuu
Acha uoga😃Mmh kikubwa niko JF tu inatosha . Haya mengine ni ya ziada tu
Siku hizi tunaweza kubadili username wenyewe?Wakuu,

Naam, fanya hivyo mwenyewe kwa kutembelea https://www.jamiiforums.com/account/usernameSiku hizi tunaweza kubadili username wenyewe?
Unawachokoza,utajua hujui..Yaani mods wana hasira. Jamaa kukosea tu kuandika verify badala ya verified kala ban.
Itakuwa ni mimi na wewe maana hata mimi inafanya hivyo japo si mda woteNaomba kuuliza
Just curious...
Sijui ni mimi tu
Kwa nini ukilog out screen colour inachange from blue to black?
Instinct tells me something different....
Naomba ufafanunuzi bandugu....