JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimekunywa ile juis mara moja tuu
ila for now nsha amua
Ney wewe ndio the one i ve been waiting for
 
Kumbeeee
Nakoseaje sasa kwa mfano?

Ila usishangae siku unapewa namba hupo slama kiafya sijui inakuaje apo[emoji23] [emoji23] [emoji23]

ukipewa namba funga hat trik sasa

Teh teh teh sio ile utakuta mwana si wako?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

utakuwa super sub

work hard keep fighting
mwanga nauona uta toboa tu

Jamani usiseme hivyo Manga

"Mvumilivu hula mbivu" komaa na fumbo la imani[emoji23]

Tatizo sio jana au juzi ni mwendo wa kusubili tuuu

Haha haha. Pole sana Blaza manga.

"haraka haraka, haina Baraka" na Pole pole ndio mwendo.

Sijapanic kawaida sana

Haina shida tutawasiliana tu

Hii na hisi ni mpaka ishindikane huko ndo ntafiliwa mimi ntasubili tu

Sio vyote Neybright


Yani apa nisubili ntafutwe kweli hiyo?
 
sasa nikiwa sawa ntakuchek shemej
halaf shemeji inaonekana ni ktu strict sana wewe!
ila ntafanya fasta
Ndio uwe sawa sasa, otherwise utaishia kumuweka kwenye dipi tuu, leta mahari tukupe mtoto mambo ya kumchezea Binti yetu tumegoma. Hapa mbuzi unanunua jumla hakuna chovya chovya usije maliza buyu la asali.
 
Aaaha kumbe ndio mbinu zake eeeh!?

Sasa hata kwenye masenema hakuna kwenda naye, asije kukudanganya akachenjua makinikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…