Yupo serious Ngoda mpaka naogopa ujue yaan manga ananiogopeshaKwa jinsi nilivyomjifunza ndugu yangu huyo katika hilo yuko serious. Simsemei lakini for so long nimebaini kamoyo kake kana ujumbe kwako. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuu usikubali mambo ya kupima ubora Wa makinikia before kibali cha uchimbaji.
Asanteh jirani i real like you jiraniNahakikisha ulinzi wako jirani yngu wakati wote.
Hapana sina wazo jipya mangaYani umekuja na wazo jipya karibu
Acha tu mkuu mana wengine mioyo inasukuma watu mpaka hatujielewi karibu sana mkuuAhsante Kichwa Kichafu, wengine naona wako busy wana#$$%
Ney i love youSiumeona ameniambia ameniwekea na movies yaan kakaangu naogopa nikifata hizo movies atanikula [emoji26] mie sitaki alafu ataniharibu sasa mie nitafanyaje nikimuona tuu naskia kulia,
Hivi Kaka na wewe umeshawahi kumpenda Msichana kama mimi ninavyompenda huyu kijana?
Pole manga jamaanAcha tu mkuu mana wengine mioyo inasukuma watu mpaka hatujielewi karibu sana mkuu
Nimewahi Mpenda mmoja yaani ilikuwa akinitext nafungua text yake huku usoni Nina tabasamu kaliii[emoji39] [emoji39] kupenda raha sana, raha zaidi kupenda unapopendwaa.Siumeona ameniambia ameniwekea na movies yaan kakaangu naogopa nikifata hizo movies atanikula [emoji26] mie sitaki alafu ataniharibu sasa mie nitafanyaje nikimuona tuu naskia kulia,
Hivi Kaka na wewe umeshawahi kumpenda Msichana kama mimi ninavyompenda huyu kijana?
Kwahiyo nikuitie miss natafutaKhaaa kama hana huluma afanye hivyo aisee
[emoji134] [emoji134]Nimewahi Mpenda mmoja yaani ilikuwa akinitext nafungua text yake huku usoni Nina tabasamu kaliii[emoji39] [emoji39] kupenda raha sana, raha zaidi kupenda unapopendwaa.
Asanteh kakaKikwetu ni "gusa unate" hakuna issue za kutest yaliyomo yamo ukitest ni jumla jumla. Mtafundishana na kuzoeana huko huko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa jinsi nilivyomjifunza ndugu yangu huyo katika hilo yuko serious. Simsemei lakini for so long nimebaini kamoyo kake kana ujumbe kwako. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuu usikubali mambo ya kupima ubora Wa makinikia before kibali cha uchimbaji.
Pole hii ungekua kifuani kwangu ningemiliki dunia kwa mudaPole manga jamaan
ki ukweli shunie na mimu nahisi jamaa ana ka usiriaz flan, vi maneno vyake ni kama vya WCB kwenye nyimbo zao, vimebeba ujumbeNo manga unajua upo serious ndio mana naogopa nilijua matani labda ya kijf ndio mana hata chumbani naogopa
Manga pls [emoji134]Pole hii ungekua kifuani kwangu ningemiliki dunia kwa muda
Ahsante dear
nawe pia kanaNawatakia usiku mwema wakuu!
- KANA -