JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kwa jinsi nilivyomjifunza ndugu yangu huyo katika hilo yuko serious. Simsemei lakini for so long nimebaini kamoyo kake kana ujumbe kwako. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuu usikubali mambo ya kupima ubora Wa makinikia before kibali cha uchimbaji.
Yupo serious Ngoda mpaka naogopa ujue yaan manga ananiogopesha
 
Siumeona ameniambia ameniwekea na movies yaan kakaangu naogopa nikifata hizo movies atanikula [emoji26] mie sitaki alafu ataniharibu sasa mie nitafanyaje nikimuona tuu naskia kulia,
Hivi Kaka na wewe umeshawahi kumpenda Msichana kama mimi ninavyompenda huyu kijana?
Ney i love you
sasa hiyo ya kumwabia ishu zetu ni ya nn iyo,
sie tupange yetu na hakuna mbaya itatokea hapo
 
Siumeona ameniambia ameniwekea na movies yaan kakaangu naogopa nikifata hizo movies atanikula [emoji26] mie sitaki alafu ataniharibu sasa mie nitafanyaje nikimuona tuu naskia kulia,
Hivi Kaka na wewe umeshawahi kumpenda Msichana kama mimi ninavyompenda huyu kijana?
Nimewahi Mpenda mmoja yaani ilikuwa akinitext nafungua text yake huku usoni Nina tabasamu kaliii[emoji39] [emoji39] kupenda raha sana, raha zaidi kupenda unapopendwaa.
 
Kwa jinsi nilivyomjifunza ndugu yangu huyo katika hilo yuko serious. Simsemei lakini for so long nimebaini kamoyo kake kana ujumbe kwako. [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila tuu usikubali mambo ya kupima ubora Wa makinikia before kibali cha uchimbaji.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

umeniua mwishoni hapo
 
Back
Top Bottom