Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Bora umekuja huku babe wako yupo mpweke jamanWe mtu ukuje uku tukeshe leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora umekuja huku babe wako yupo mpweke jamanWe mtu ukuje uku tukeshe leo
Wew mbona unamuita mwanaume gizani.Hahaha haya njoo huku nilipo
Yani bora umseme huyu mmasai wangu. Kutwa kucha yupo na vibuyu vya maziwa anamsahau mumewe.Bora umekuja huku babe wako yupo mpweke jaman
Namuonaga kila siku anawawangia huku mara akutongoze sasa nmekuja mwenyewBora umekuja huku babe wako yupo mpweke jaman
Hahahaaa yanii ww si nmeona kule unanisema Inna single madha nmekuachaUtalala utaniacha. Labda leo unipe maneno matamu manake umeacha kunibana hadi nataka kuibiwa wewe upo tu unachekelea. Sitaki kuibwa. Nichukue mZima mzima
Ahahha acha tu bora umekuja atulie usimuachie hivyo peke akeNamuonaga kila siku anawawangia huku mara akutongoze sasa nmekuja mwenyew
Leo utatulia ivugaYani bora umseme huyu mmasai wangu. Kutwa kucha yupo na vibuyu vya maziwa anamsahau mumewe.
Am proud to be a virgin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani bora umseme huyu mmasai wangu. Kutwa kucha yupo na vibuyu vya maziwa anamsahau mumewe.
Acha uchokoziWew mbona unamuita mwanaume gizani.
Leo shunie utapumua usijali mana alikuandama haswa...leo nabanana nae hapa hapaAhahha acha tu bora umekuja atulie usimuachie hivyo peke ake
Safiiiiiiiii ndio furaha yangu mamy mbane tu hakuna namnaLeo shunie utapumua usijali mana alikuandama haswa...leo nabanana nae hapa hapa
Sasa mama kazi au faida ya virginity ni niniAm proud to be a virgin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehe anajua huyo niliyemquote faida yakeSasa mama kazi au faida ya virginity ni nini
germve himself
Mmmh haya banaHehe anajua huyo niliyemquote faida yake
Shunie eti nimekutongoza?Namuonaga kila siku anawawangia huku mara akutongoze sasa nmekuja mwenyew
Yes. Im proud nilikukuta ukiwa virgin. My decent girl.Am proud to be a virgin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]