Ni kweli mkuu hio ni hatari zaidi.Afu nimeona hio signature ya sent from.... hatari sana hioTofauti ipo mkuu, ila ukicombine vyote ni hali tete zaidi bora uwe na msongo wa mawazo na upo na mtu pembeni unaweza kumwelezea kinachokusibu akukupa ushahuri tofauti ukiwa peke yako hapo utajaribu kutafuta majawabu ya mawazo yako ukaishia kuongeza mawazo
sent from kuzimu
Kumbeee
All the best chief,Mungu akutimizie kwa kadri ya hitaji la moyo wako mkuu.Ni kweli mkuu hapa ndo natamani mipango ikae vizuri nioe tu
sent from kuzimu
Daah umeielezea vzr sana maana naona watu wengi inawapa shida wao wenyewe kuelewa hali gani inawasumbua kati ya hali hizo 2.Upweke unaweza kupelekea msongo wa mawazo, kwa mtazamo wangu afadhali ya upweke kuliko msongo wa mawazo. Ukitafakari sana, yote ni mambo ya kufikirika tu! Upweke unakuaje? Mbona wengine wanapenda upweke na ndio maisha wanayoyafurahia?
Msongo wa mawazo hali kadhalika, jambo unaloliona mzigo au kikwazo kiasi cha kukukatisha tamaa kwa mwingine hata halimsumbui kabisaaa.
Inategemea unalichukuliaje na una weza kukabiliana nalo kwa mikakati ipi. Wengi tunachachawa kama sio kupagawa sana tunapofikwa na mambo.
Kuongea kunasaidia sana, unawezasema jambo au tatizo linalokusibu ukashangaa unapata ushauri au msaada ambao hsukuufikiria na umeshaumia sana na tatizo.
Hahah aisee kwema chief,hopefully all is well kwako.
Sawa mkuu nimekusoma.Ngoja mkesha uendelezwe hapaMkubwa ukiona namiliki internet na kutuma chochote ujue kabisa all is well. Shukrani
Nipo
Afu nimeota nimeutoa ule utando.Njoo tukeshe
HeheeAfu nimeota nimeutoa ule utando.
Embu jikague manake usije kuta mshana kaniafanyia manuva ili nipate mautamu kimazingabwe
Nijibu pmHehee
Haya[emoji3]Nijibu pm
Leo naona upo njoo huku tu flirt kidogo kabla sijalalaNijibu pm