Utapata watoto?Kipindi bado nikiwa shule ilikuwa kama nitapewa home work basi nasubiria ule muda watu wote home wamelala mi ndio nafanya hoe work zangu, nilipomaliza shule, nikaingia chuo flani nako ikawa vivyo hivyo, baada ya kumaliza chuo nikawa pia naendelea na kufanya kazi usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninao wawili, kwani hata nao pia niliwatafuta usikuUtapata watoto?
Nakubaliana nawe.Kama kuna kazi unaifanya mchana na ikiwa inakutanza basi subiria usiku wa manane ndio uifanye, muda huo akili inakuwa imetulia basi waweza fanya kazi yako vizuri sana then asubuhi ukajishangaa kwa matokeo uliyopata
Sent using Jamii Forums mobile app