JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Baadae kuna kazi najishughulisha nazo lakini pia nilikuwa nazifanya usiku, mwaka 2007 niliwahi kufika Mwanza, huko mwajiri wangu aliniita kwa jina la utani Mchina na hiyo ni kutokana na kufanya kazi nyingi usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kuna kazi unaifanya mchana na ikiwa inakutanza basi subiria usiku wa manane ndio uifanye, muda huo akili inakuwa imetulia basi waweza fanya kazi yako vizuri sana then asubuhi ukajishangaa kwa matokeo uliyopata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiku ni sehemu ya maisha ambayo hata Wachina wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya muda wa kufanya kazi. Na mimi pia niliwahi kujiuliza hili swali, jibu nililopata ni kuwa usiku akili ya binadamu inakuwa haina mambo mengi ya kuifanua iwe bussy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kipindi nilikuwa free sana hali iliyopelekea ikifika muda wa usiku natafuta night club nakwenda kukesha, bahati mbaya mimi sinywi pombe na wala sivuti hivyo huwa najichanganya na watu tofauti but kwangu mimi ni sehemu mojawapo ya maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi leo hii, kama ikiwa nimekwenda kazini mchana basi nikirudi huwa naweza kupumzika kwa muda usiozidi lisaa moja then nabaki home kucheki movie may be hadi kwenye 02:30hrs then hapo ndi kidogo najinyoosha hadi 05:00hrs kwa ajili ya kujiandaa kwenda kazini, lakini ninapokuwa free basi huwa natoboa hadi siku ya pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Licha ya kutoboa huko, sina kawaida ya kulala mchana na wala sijawahi kuhisi kichwa kizito kwa sababu au kuzidiwa na usingizi na wala sijawahi kusinzia kazini, hayo hiwa nayaexperience kwa watu wengine tu wakiongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wengi sana huwa wanasema kuwa mtu anapokesha usiku na siku ya pili yake asipolala mchana, au usiku tena asipopata muda mrefu wa kulala basi anaweza kuwehuka au hatojiskia vizuri, ni kweli huwa nashuhudia kwa baadhi ya watu tu but mimi kwa usiki nikipata lisaa limoja tu basi hiwa limekata usingizi wote wa siku nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mfano jana tangu saa 8 usiju nipo kwenue huu uzi nacomment kama kawa hadi saa 06:00hrs bando langu lilipokwisha then nikajiunga tena jioni kwenye 17:00hrs kuendelea kucomment kwenye mada mbali mbali hadi nilipoingia kwenye huu uzi 01:00hrs hadi muda huu hapa basi sijawahi kulala. BELIEVE IT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamini ni kwamba kwenue haya maisha kuna baadhi ua watu huwa tunaishi maisha ambayo mtu mwingine akijaribu lazima awehuke au ndani ya muda mchache tu basi huwa amekoma na hatopenda tena kujaribu kuiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Are we together[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom