Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha yani katika vitu ambavyo siviogopi ni maombi ya usiku wa manane, kwanza waombaji wengi unakuta wamesinzia na wengine wako kwenye vifua na viuno vya watu wanaomba watoto[emoji12]Hukutani na MB bali maombi ya nguvu kutoka kwa waamini!
Acha kuwanga badala yake uwe unakaa hapa kutulindia uzi wetu,vinginevyo siku si nyingi hayo mawimbi yatakudondosha uaibike bure...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unakuwa kakosea kuunga bando.
Ameunga la usingiz badala ya la Mb.
Kifurushi cha usingizi kimeisha.Usingizi sijui umeenda wapi?
Inabidi mkutane na mshana jr ndio mida yake kaziniAisee, saivi itabidi nianze kuwanga usiku wa matisa, sababu kila nikichungulia dirishana naona mwanga wa simu naghairi.
Kimekata kwa kweliKifurushi cha usingizi kimeisha.
Mmmmh! We kweli mwanga [emoji126] [emoji126] [emoji126]Hahaha yani katika vitu ambavyo siviogopi ni maombi ya usiku wa manane, kwanza waombaji wengi unakuta wamesinzia na wengine wako kwenye vifua na viuno vya watu wanaomba watoto[emoji12]
Umemwachaje aende kuoga peke yake? Mechi ya bafuni inanoga sana ujue, usisahau kuchukua kavideo au ikishindikana sana kasauti na sie tufaudu.Fellow popoz bado niko geita leo nimeingia wilaya ya mbongwe nimepalamia popo moja toto ya kagame ni hatari yani kaz kaz kama yule mzalendo wa chato hapa tumemaliza first round ameingia bafuni ila nahis she takes so long cjui anampango gani na mimi nisipoonenakana tena jukwaani let this be my goodbye!
[emoji137][emoji137][emoji137]Le family ya popoz mko wap
Ipogolo
Kichwa kichafu
Neybright
Cofta, Manga Ml huyu ndo kapoteaga humu
Popo wa kudumu alibakari
Youngblood, dingmzee
Behaviorist we zako ni kuja asubh tu kumtafuta ivuga
Spade4spade,ASA 1 sakayo naita rokooo ya mapopo
Yule ana mbinu Kali, hata kwenye jua Kali anaweza kuwanga na mtu asimwone, kwakweli simweziInabidi mkutane na mshana jr ndio mida yake kazini
Hahaha rudi bhana me wala siwangi sana kidogo tu, hata nikikulimisha shamba ni tuheka tuwili basi[emoji85]Mmmmh! We kweli mwanga [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Tunashuruku salama kabisa.Nzuri kiongozi habari ya ww
HahahahahaFellow popoz bado niko geita leo nimeingia wilaya ya mbongwe nimepalamia popo moja toto ya kagame ni hatari yani kaz kaz kama yule mzalendo wa chato hapa tumemaliza first round ameingia bafuni ila nahis she takes so long cjui anampango gani na mimi nisipoonenakana tena jukwaani let this be my goodbye!
Maana huyo ni popo sugu kundi moja na InnaAlibakari muda huu anapata dozi ya kahawa
alibakariInawezekana[emoji3]
Bila shaka utakuwa mwanga tajiri duniani,maana kama mtu mmoja anakulimia heka 2 kwa usiku mmoja tu....[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaha rudi bhana me wala siwangi sana kidogo tu, hata nikikulimisha shamba ni tuheka tuwili basi[emoji85]
Hahahaha leo fo fo fo huko[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha aunge la usingizi,maana aliunga mb bando la wiki,hakulala kwa siku 5 mfululizo hadi mb zilipomwishia!
Inabido tuwe pamoja jamviniKimekata kwa kweli