Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
Hahaha yani katika vitu ambavyo siviogopi ni maombi ya usiku wa manane, kwanza waombaji wengi unakuta wamesinzia na wengine wako kwenye vifua na viuno vya watu wanaomba watoto[emoji12]Hukutani na MB bali maombi ya nguvu kutoka kwa waamini!
Acha kuwanga badala yake uwe unakaa hapa kutulindia uzi wetu,vinginevyo siku si nyingi hayo mawimbi yatakudondosha uaibike bure...[emoji12] [emoji12] [emoji12]