JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hukutani na MB bali maombi ya nguvu kutoka kwa waamini!

Acha kuwanga badala yake uwe unakaa hapa kutulindia uzi wetu,vinginevyo siku si nyingi hayo mawimbi yatakudondosha uaibike bure...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaha yani katika vitu ambavyo siviogopi ni maombi ya usiku wa manane, kwanza waombaji wengi unakuta wamesinzia na wengine wako kwenye vifua na viuno vya watu wanaomba watoto[emoji12]
 
Fellow popoz bado niko geita leo nimeingia wilaya ya mbongwe nimepalamia popo moja toto ya kagame ni hatari yani kaz kaz kama yule mzalendo wa chato hapa tumemaliza first round ameingia bafuni ila nahis she takes so long cjui anampango gani na mimi nisipoonenakana tena jukwaani let this be my goodbye!
Umemwachaje aende kuoga peke yake? Mechi ya bafuni inanoga sana ujue, usisahau kuchukua kavideo au ikishindikana sana kasauti na sie tufaudu.
 
Le family ya popoz mko wap
Ipogolo
Kichwa kichafu
Neybright
Cofta, Manga Ml huyu ndo kapoteaga humu
Popo wa kudumu alibakari
Youngblood, dingmzee
Behaviorist we zako ni kuja asubh tu kumtafuta ivuga
Spade4spade,ASA 1 sakayo naita rokooo ya mapopo
[emoji137][emoji137][emoji137]
 
Fellow popoz bado niko geita leo nimeingia wilaya ya mbongwe nimepalamia popo moja toto ya kagame ni hatari yani kaz kaz kama yule mzalendo wa chato hapa tumemaliza first round ameingia bafuni ila nahis she takes so long cjui anampango gani na mimi nisipoonenakana tena jukwaani let this be my goodbye!
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom