Nilikuwa nasubiri kufunguliwa.POPOOOOOOOOz! Geti liko wazi say8 naanza kuita majina....
Kumbe ulikuwa hutoi huduma yq ndoa jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hehee ndo wapi..mauchovu tu
Nimeona yupo huruAlibakari naona umemaliza kifungu leo utaingia mzigoni
Ngoja nami nivamie avatar yako ili uniachie hiyo,uje na nyingine....[emoji23] [emoji23]Comrade.....
Naona umeamua kuwaachi wavamizi avatar yako...[emoji2] [emoji2]
Ila poa amigo, maisha lazima yaendelee
Hufai kuwa mlinzi,unafunga geti saa 12 asubuhi!? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Nimechelewa kufunga geti!!!!! Haya waislamu mkafanye ibada mida ndio hii nimesikia mnaitwa huko.... msisaha kualika wenzenu basi.
Leo tuko busy na ndoa zetu... we sikiliza mziki tu,usindikize usikuUsiku ni mrefu...
Kama hujalala njoo tupige stori mbili tatu..
Kumbe huyu mdau alikuwa kifungoni?Alibakari naona umemaliza kifungu leo utaingia mzigoni
Naona upepo wa bahati unanielekea......[emoji39] [emoji39] [emoji39]Ngoja nami nivamie avatar yako ili uniachie hiyo,uje na nyingine....[emoji23] [emoji23]
Poa poa mkuuTugange yajayo..
Angalia nisije nikachukua avatar na bahati yako....maana nasikia hiyo avatar ndio inayong'arisha nyota yako hap jf [emoji12] [emoji12] [emoji12]Naona upepo wa bahati unanielekea......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kamata hiyo avateri Amigo...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Karibu mpaka ndani!Hodiiiiii.......!!!!!!!!!
hiyo avatar yako inanikumbusha mbali sana mkuu.......imekaa kiuzinzi sana aiseeKumbe ulikuwa hutoi huduma yq ndoa jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana popo wote chali
Asantee [emoji120] [emoji120] Nimeshakaribia, wewe ndie mwenye kilinge?Karibu mpaka ndani!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Angalia nisije nikachukua avatar na bahati yako....maana nasikia hiyo avatar ndio inayong'arisha nyota yako hap jf [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ohhooo....[emoji15] [emoji15] [emoji15]hiyo avatar yako inanikumbusha mbali sana mkuu.......imekaa kiuzinzi sana aisee
kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuuOhhooo....[emoji15] [emoji15] [emoji15]