JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Comrade.....
Naona umeamua kuwaachi wavamizi avatar yako...[emoji2] [emoji2]
Ila poa amigo, maisha lazima yaendelee
Ngoja nami nivamie avatar yako ili uniachie hiyo,uje na nyingine....[emoji23] [emoji23]
 
Nimechelewa kufunga geti!!!!! Haya waislamu mkafanye ibada mida ndio hii nimesikia mnaitwa huko.... msisaha kualika wenzenu basi.
Hufai kuwa mlinzi,unafunga geti saa 12 asubuhi!? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Naona upepo wa bahati unanielekea......[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kamata hiyo avateri Amigo...[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Angalia nisije nikachukua avatar na bahati yako....maana nasikia hiyo avatar ndio inayong'arisha nyota yako hap jf [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Angalia nisije nikachukua avatar na bahati yako....maana nasikia hiyo avatar ndio inayong'arisha nyota yako hap jf [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe ndiomaana ng'aring'ari haziishi kunijia na kuong'oa bebezzz kama Le Mutuz...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ohhooo....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
 
Back
Top Bottom