Wiki hii umejitahidi kua mlinzi mwaminifu umempokea alibakariAsante kwa kutufungulia geti mamy!
Bora awe na roho mbaya...ntamshauri ntamuombea itabadilika sura [emoji2] [emoji2] [emoji2]'Sura sio roho'....anaweza kuwa na sura mbaya lakini akawa na roho nzuri ajabu!
Hamna we si umerudi majuzi juz tu humuSija adimika naingia mida usha lala wewe
Mbona watu wamenyoosha vidule kua wapo hafu kimyaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeona eeh! alibakari kibarua kimemshinda kabisaWiki hii umejitahidi kua mlinzi mwaminifu umempokea alibakari
Maserati nitie hata moyo ...at least upon nusu ya avator yako etii eeh...unaruhusiwa kunidanganya piaThubutuuuu. Tutakimbia
Kwa hiyo hata like zangu huzionagi eeh?Hamna we si umerudi majuzi juz tu humu
Hapana sizionagi mpk una siku nilikuita nkaon kimy nkajua we ushatekwaa au mamaa alikwepo nn?Kwa hiyo hata like zangu huzionagi eeh?
Hujawahi kukutana na mtu mwenye roho mbaya wewe....usiombe kukutwa na hiyo kadhia,utajuta maisha yako yote.Bora awe na roho mbaya...ntamshauri ntamuombea itabadilika sura [emoji2] [emoji2] [emoji2]
carnte himself
Acha woga...kwani roho mbaya anakuwa amekufunga kambaHujawahi kukutana na mtu mwenye roho mbaya wewe....usiombe kukutwa na hiyo kadhia,utajuta maisha yako yote.
Sura mbaya atafanyiwa upasuaji iwe nzuri [emoji12] [emoji12]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa ni kiwepo humu anakuaga wapi?Hapana sizionagi mpk una siku nilikuita nkaon kimy nkajua we ushatekwaa au mamaa alikwepo nn?
Labda kinataka wineHapana,kichwa kinaniuma hapa hata sijatoka Leo. Last week ndio nilikuwa triple 7 pale
Haha huyo nshakwambia hataweza kuja tena humu ata ukiwa haupo labda mara chache san[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa ni kiwepo humu anakuaga wapi?
Nikiitwa jukwaani hua sisikii labda pm na huko itachukua kamuda kidogo sijui kwa nini?
Poa mzima weweMamboo?
Leo wamegoma aiseehNey nisaidie kuwaita popoz
Sawa japo na kwenyewe kuna kamuda kidogo.Haha huyo nshakwambia hataweza kuja tena humu ata ukiwa haupo labda mara chache san
Bas ntakutokezea huko kukuita