JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

'Sura sio roho'....anaweza kuwa na sura mbaya lakini akawa na roho nzuri ajabu!
Bora awe na roho mbaya...ntamshauri ntamuombea itabadilika sura [emoji2] [emoji2] [emoji2]

carnte himself
 
Hujawahi kukutana na mtu mwenye roho mbaya wewe....usiombe kukutwa na hiyo kadhia,utajuta maisha yako yote.

Sura mbaya atafanyiwa upasuaji iwe nzuri [emoji12] [emoji12]
 
Acha woga...kwani roho mbaya anakuwa amekufunga kamba

carnte himself
 
Hapana sizionagi mpk una siku nilikuita nkaon kimy nkajua we ushatekwaa au mamaa alikwepo nn?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kwa ni kiwepo humu anakuaga wapi?

Nikiitwa jukwaani hua sisikii labda pm na huko itachukua kamuda kidogo sijui kwa nini?
 
Haha huyo nshakwambia hataweza kuja tena humu ata ukiwa haupo labda mara chache san
Bas ntakutokezea huko kukuita
 
Back
Top Bottom