HiiWoyooo
AmenNamshukuru Mungu kwa akili yenu...stay blessed friends...Mungu atutangulie mawazo ...maneno ...vitendo vyetu na wajibu pia japo siku ishaanza lakini bado mpya ...awarehemu na wenzetu wenye maumivu ya rohoni na ya kimwili...nawatakia nyote usiku mwema tubaki chini ya ulinzi wake Wa amani na upendo tukijitahidi kuwa waaminifu kwake...amen
Thanks mazee na usiku mwema
carnte himself
Habari mamy
Ahahahaaaaaa siwezi kukutupa you're my one and only jirani [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana nakupenda.
Nilikuwa nawaza hapa nitapata wap tena jirani maana kijiji chote cha jf jirani upo wewe tu
Poa dear za masiku teleHabari mamy
Mungu anasaidia my dear.. Ni kukumiss tuuPoa dear za masiku tele
Twamisiana sana sijui shida ni nini, kwanini hatuonani?Mungu anasaidia my dear.. Ni kukumiss tuu
OooyoWWoyooo
Usinichoke kwa kweli jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahahaaaaaa siwezi kukutupa you're my one and only jirani [emoji23][emoji23][emoji23]
Sina budi kukuvumilia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Usinichoke kwa kweli jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sidhani kama nipata jiran kama wewe
Hebu hilo swali ulijibu wewe mpenzi.... Shida ni nini lakiniiTwamisiana sana sijui shida ni nini, kwanini hatuonani?
MamboOooyoW
Mimi kwa upande wangu itakuwa bandle [emoji125][emoji125][emoji125]Hebu hilo swali ulijibu wewe mpenzi.... Shida ni nini lakinii
HahahaMimi kwa upande wangu itakuwa bandle [emoji125][emoji125][emoji125]
Yaan sasahivi hata sioni uzi za amsha amsha, maana kuna uzi bana ukiufungua hutamani ku log outHahaha
Sio kweliiii bhanaa
Poa kabisa!Mambo
Sasa huo ndo ukweli... Kumepooza mnoo siku hiziYaan sasahivi hata sioni uzi za amsha amsha, maana kuna uzi bana ukiufungua hutamani ku log out
Mie Mzima wa afya mkuuPoa kabisa!
Mzima wewe?
Basi mimi nilikuwa nadhani labda ni macho yangu tuu, anyway ngoja wadau wajipange labda wanaweza kuleta vitu vizuri zaidi vitakavyogusa hisia za wengi.Sasa huo ndo ukweli... Kumepooza mnoo siku hizi