JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Namshukuru Mungu kwa akili yenu...stay blessed friends...Mungu atutangulie mawazo ...maneno ...vitendo vyetu na wajibu pia japo siku ishaanza lakini bado mpya ...awarehemu na wenzetu wenye maumivu ya rohoni na ya kimwili...nawatakia nyote usiku mwema tubaki chini ya ulinzi wake Wa amani na upendo tukijitahidi kuwa waaminifu kwake...amen

Thanks mazee na usiku mwema

carnte himself
Amen
 
Sasa huo ndo ukweli... Kumepooza mnoo siku hizi
Basi mimi nilikuwa nadhani labda ni macho yangu tuu, anyway ngoja wadau wajipange labda wanaweza kuleta vitu vizuri zaidi vitakavyogusa hisia za wengi.
 
Back
Top Bottom