Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Bado itabidi nichangamke maana mwezi umepita sasaSo unatafuta genereta au ushapata?
Jesus is my saviour and a friend
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado itabidi nichangamke maana mwezi umepita sasaSo unatafuta genereta au ushapata?
Jesus is my saviour and a friend
Mabonge nasikia yanabonyea kama godoro tu hamna tatizo.Atanipiga vipepsi....si unaona hilo pozi ni la "ukinigusa utanikioma"
Fanya faster kabla hakujakucha, ila ukiweza vumilia ni kheri piaBado itabidi nichangamke maana mwezi umepita sasa
Ngoja nijaribu kumlalia juu ila inabidi nipeleke kiungo kimoja kimoja mpaka mwili wote maana naogopa vipepsi ...nataka nifanye kama vile unapopita kwenye majivu ya pumba ku-test kama moto umezima ili nipite...nasogeza mguu mmoja kidogo kidogo kisha miguu yote then napita kwa kujiaminiMabonge nasikia yanabonyea kama godoro tu hamna tatizo.
(Ashakum si matusi)
Pamoja mkuuTunakwenda kama hivo 00:50
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Watanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
Tanika??Naona mwendo wa tanika
Ngoja nivumilie tu naona ndio "best option" na asubuhi imekaribia tayari kwa kwenda kwenye mishemisheFanya faster kabla hakujakucha, ila ukiweza vumilia ni kheri pia
Jesus is my saviour and a friend
Uko na akili mingi hadi nimefurahNgoja nivumilie tu naona ndio "best option" na asubuhi imekaribia tayari kwa kwenda kwenye mishemishe
??akinaTTanika??
Leo mapema. Haya bana. Usiku mwemaUsiku mwema wakuu!
Asante hata mm niage tu sina ujanjaUsiku mwema wakuu!
Twende jje's nikusindikize hukoAsante hata mm niage tu sina ujanja
Jesus is my saviour and a friend
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Leo mapema. Haya bana. Usiku mwema
Asante hata mm niage tu sina ujanja
Jesus is my saviour and a friend
Ngoja na mie nilale sasa kama ulikuwa mnanipa faraja mnalala...usiku mwema nyoteTwende jje's nikusindikize huko
Nipo ntakuchek kwa miwani ya jicho moja