JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wigowigowigowigooooo! tintiriiiii tiiiiiii tiiii tiii.......

time will tell
 
00:45

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati {IV}"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Mbona kila nikipost sini kitu?

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati {IV}"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jamani nasikia Sauti ya mlio wa Ndege simfahamu....!!

Naombeni mnijuze mlio wa Ndege yule mwenye Mabalaa..

Sina imani na amani kabisa....Mshana Jr, wake up...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom