Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Hajambo amelala now baada ya shughuli nzito[emoji85]
Jesus is my saviour and a friend
Hahahahahhaha si nimesema amechoka baada ya shughuli nzito za kujenga Taifa? Sasa amerudi keshapata dinner na keshakoga amelala.Eeh hapo umeniacha koromije, anaandaje hapo nidadavulie
Anafanya kwa uncle wetu na si unajua tena hakuna kudoji? Kazi ni kazi lazima uwajibike[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Nimejikuta nawaza mbali ghafla, hebu nitoe tongotongo ni shughuli gani hiyo bibie[emoji12]
Haika, Mndumii Ruwa narumisho.Mbonyi sako sicha msacha oko
Jesus is my saviour and a friend
Kuna vitu viwili vilinichanganya hapo , ila ya ngoswe mwachie ngoswe, baada ya kunijibu hapo juu ndio nimeelewa sasa,siku yako inakwendajeHahahahahhaha si nimesema amechoka baada ya shughuli nzito za kujenga Taifa? Sasa amerudi keshapata dinner na keshakoga amelala.
Ulielewaje mkuu tafadhali nijuze[emoji12]
Jesus is my saviour and a friend
Chaaaa narumisho kapisaa[emoji108]Haika, Mndumii Ruwa narumisho.
Hii lugha mbona siielewTsicha tupu mae, njiwia mbony.
Nitonye basi ulielewaje hivyo vitu viwili?Kuna vitu viwili vilinichanganya hapo , ila ya ngoswe mwachie ngoswe, baada ya kunijibu hapo juu ndio nimeelewa sasa,siku yako inakwendaje
Imekuja na meli mkuu[emoji85]Hii lugha mbona siielew
Hahaha hapa ametupiga chenga ya mwili mkuu, hapo kashakua mwepesi kabisa anatuzuga tu hapa[emoji12]Kuna vitu viwili vilinichanganya hapo , ila ya ngoswe mwachie ngoswe, baada ya kunijibu hapo juu ndio nimeelewa sasa,siku yako inakwendaje
Ndo inaitwaje hii we mremboImekuja na meli mkuu[emoji85]
Jesus is my saviour and a friend
[emoji23] [emoji23]Hii lugha mbona siielew
[emoji23] [emoji23]Imekuja na meli mkuu[emoji85]
Jesus is my saviour and a friend
Watumiaji tuwaitaje[emoji23] [emoji23]
Ni lugha isiyojulikana mkuu
UmeonaeeeeeHahaha hapa ametupiga chenga ya mwili mkuu, hapo kashakua mwepesi kabisa anatuzuga tu hapa[emoji12]
[emoji14]Nitonye basi ulielewaje hivyo vitu viwili?
Teh teh
Siku ya gu ilikuwa nzr sana nammshukuru Mungu
Jesus is my saviour and a friend
Lugha[emoji12]Ndo inaitwaje hii we mrembo
Hakika umenisaidia[emoji23] [emoji23]
Halafu ni lugha isiyojulikana[emoji125]
Nao pia hawajulikani mkuu[emoji40]Watumiaji tuwaitaje
Nataka unifundishe inakuaje sasaLugha[emoji12]
Jesus is my saviour and a friend