JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahahahhaha si nimesema amechoka baada ya shughuli nzito za kujenga Taifa? Sasa amerudi keshapata dinner na keshakoga amelala.

Ulielewaje mkuu tafadhali nijuze[emoji12]

Jesus is my saviour and a friend
Kuna vitu viwili vilinichanganya hapo , ila ya ngoswe mwachie ngoswe, baada ya kunijibu hapo juu ndio nimeelewa sasa,siku yako inakwendaje
 
Back
Top Bottom