Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Kwema ndugu yangu, nimefurah kuona uwepo wako. Walau urudie kitengo chako cha kufungua na kufunga getiNilikuwa kule kwa wale macho madogo nimerudi aisee, mambo vp.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwema ndugu yangu, nimefurah kuona uwepo wako. Walau urudie kitengo chako cha kufungua na kufunga getiNilikuwa kule kwa wale macho madogo nimerudi aisee, mambo vp.
Pade zipi hizo?Karibuni Fusion club
Huwa tunasubiri muda ufike ndo tunaanza, mara chache sana uzi huu kuonekana mchanaKwanini unasema hivyo jje's?
Hakika na ni weekend no harakaGood tupo pamoja rafiki yangu
I miss you my neighbor, nilijua umepumzisha kichwa maana kuna mahali nilikukuta unajisomea hata huelewi [emoji23][emoji23]Tumeondoka.!
Jirani nafurahi kukuona
Umeanza ijumaa hongela sana sijajipanga ningetimba apoDuh. Triple 7 hapa full shangwe
Ndio wapi huko mamii?Duh. Triple 7 hapa full shangwe
Nilitaka kuuliza nikaogopa ushamba mwingi labda sijui kila sehemuNdio wapi huko mamii?
Kabisa watu wapo makini, kiukweli huwa hawaniangushiHuwa tunasubiri muda ufike ndo tunaanza, mara chache sana uzi huu kuonekana mchana
Jirani kama unavyonifahamu mgumu kuelewa mwepesi kusahau pale nilikuwa nalazimisha kuelewa hafu sielewi.I miss you my neighbor, nilijua umepumzisha kichwa maana kuna mahali nilikukuta unajisomea hata huelewi [emoji23][emoji23]
Mwenzangu mie nimekariri triple A,Nilitaka kuuliza nikaogopa ushamba mwingi labda sijui kila sehemu
Birthday party [emoji322] ya anco zako mapachaJirani kama unavyonifahamu mgumu kuelewa mwepesi kusahau pale nilikuwa nalazimisha kuelewa hafu sielewi.
Jirani mbona taa zinawaka ndani na nje kama ndio saa mbili usiku kuna nini?
Una akili kama zangu, mbona hatujibu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85]Mwenzangu mie nimekariri triple A,
Ndio maana nikajilipua tuu kuuliza
Ngoja tumsubirie kidogoUna akili kama zangu, mbona hatujibu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85]
Ha ha haaa inapatikana wilaya ya kinondoni tuNdio wapi huko mamii?
Huendagi club?Nilitaka kuuliza nikaogopa ushamba mwingi labda sijui kila sehemu
Ha ha haaaMwenzangu mie nimekariri triple A,
Ndio maana nikajilipua tuu kuuliza
Naendaga mkuu ila hiyo siijui kabisaHuendagi club?