JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

wengine wakiwa night clubs, wengine on duty kama manesi na walinzi, wengine na nanihii zao, wengine tuna refresh mind na movie kuusindikiza usiku wa manane
 
Ndio wapi huko mamii?

Nilitaka kuuliza nikaogopa ushamba mwingi labda sijui kila sehemu

Una akili kama zangu, mbona hatujibu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85]
Sorry girls kama alivyowaambia manga like he watched me.
Triple 7 ni club ipo maeneo kama unaenda kawe kama sikosei. Karibu na makao ya kambi ya jeshi mlalakuwa,karibu na kituo cha maringo.
 
Back
Top Bottom