Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
kuna miwngine amekosa usingizi humu?..duh na mimi leo yamenikuta....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo avatar yako huwa inanichekesha sana!!......the best avatar ever!Gate limefunguliwa tena kwa popo na bundi wote
Shangazi acha kudanganya,muogope Mungu!!.....wokovu na club wapi na wapi!!Naendaga mkuu ila hiyo siijui kabisa
ndio hii,Ndo JF ucku wa manane hii?
Kwan we popo au bundi?Gate limefunguliwa tena kwa popo na bundi wote
Haya ngoja nami niishuhudiepo au siyo?ndio hii,
Mida ya wanga hii bundi ndio wanatumika zaidiKwan we popo au bundi?
Nikipokea mkopo wa chuo ntakutafuta bestHa ha haa kama unaendaga club jipange twende
Intruders not allowed [emoji23][emoji23][emoji23]Nampango wa kuzamia hamna card[emoji23] [emoji23]
Ndio wapi huko mamii?
Nilitaka kuuliza nikaogopa ushamba mwingi labda sijui kila sehemu
Sorry girls kama alivyowaambia manga like he watched me.Una akili kama zangu, mbona hatujibu?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85]
Asanteh mpz, tulikuwa tunajiuliza sana. Nitapita hapo next week.Sorry girls kama alivyowaambia manga like he watched me.
Triple 7 ni club ipo maeneo kama unaenda kawe kama sikosei. Karibu na makao ya kambi ya jeshi mlalakuwa,karibu na kituo cha maringo.