JamiiForums Usiku wa manane

Kwa sasa ni saa nane na dakika hamsini na mbili (02:52)
Usingizi umekata baada ya umeme kukatika....Yaani ni joto na kukimbizana na mbu....Bahati nililala mapema tangu mbili kamili, hivyo poa tu navinjari na JF kupitia thread mbalimbali...
 
Usiku wa manane,wafaa sana kwa maombi Mungu atusaidie sana.
Mungu awabariki wote mahali hapa.[emoji120]

Msijisumbue kwa neno lolote ;bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu na zijulikane na Mungu .Na amani ya Mungu,ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu

Wafilipi 4:6-7
 
Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…