ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Hay naperuz kidog hapKwema sana[emoji8] [emoji8] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hay naperuz kidog hapKwema sana[emoji8] [emoji8] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]
Niko JF Chit-ChatWewe hujalala unafanya nini?
Hahahahaaaaaaa Stress Za Kufungwa Kwisha.Tulale tuna raha gani?
KutokulalaKufanyaje
Hongera ZakoMwenzenu ndobado natoka kazini
EAT 0208Jamani kwani ivi nisangapi huko bongo
Kwa sasa ni saa nane na dakika hamsini na mbili (02:52)Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
AmenUsiku wa manane,wafaa sana kwa maombi Mungu atusaidie sana.
Mungu awabariki wote mahali hapa.[emoji120]
Msijisumbue kwa neno lolote ;bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu na zijulikane na Mungu .Na amani ya Mungu,ipitayo akili zote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu
Wafilipi 4:6-7