JamiiForums Usiku wa manane

Mimi nipo hapa nyuma yako nakuona tu unavyo kikojolesha kwenye tubelight.

Kumbe ndo ulivyoo. Jamani ID hizi za JF zinaficha mengi.

Samahani mkuu macho hayana panzia.
 
Mtoa post naona umeanzisha Uzi kwa kuvizia muda wa kifurushi cha Tigo (500) mia tank 35GB kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi. Mtakeaha bure ndugu!
 
Haya Wale wa swalaa swalaa
hamkeni mida imekaribia.
Wale wa matendo daima
tukamkemee shetani.

Na Wale wa team popoo wakiongozwa
Na
No Escape
twendeni tukanywe MAJI
TUKAKOJOE , turudi kupiga KAZI
 
Huu uzi unanihusu saa kumi hii niko macho, sasa mbona mmelala
 
Dah nipo sebule nimeshaangalia movie kama 8 tangu saa mbili usiku
 
Mtoa post naona umeanzisha Uzi kwa kuvizia muda wa kifurushi cha Tigo (500) mia tank 35GB kuanzia saa 6 usiku hadi saa 12 asubuhi. Mtakeaha bure ndugu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Niko KIA VIP Lounge tokea saa3 nikitegemea mgeni saa5 lakini huwezi amini hii saa10 ndio anashuka. Kwa kifupi nimekesha nahesabu ndege bila kulala
 
pole sana...
Niko KIA VIP Lounge tokea saa3 nikitegemea mgeni saa5 lakini huwezi amini hii saa10 ndio anashuka. Kwa kifupi nimekesha nahesabu ndege bila kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…