JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Tuilinde J.F yetu....Hakuna kulala hapa!Mpo wapi jamani...
 
Tuilinde J.F yetu....Hakuna kulala hapa!Mpo wapi jamani...
Tupo mkuu
Minipo hapa na jaba la maji yakunywa
huku nikihakikisha wana JF wote waliolala, na wanaosinzia Mali zao
Zipo salama.
 
Tupo mkuu
Minipo hapa na jaba la maji yakunywa
huku nikihakikisha wana JF wote waliolala, na wanaosinzia Mali zao zipo
Zipo salama.
Safi sana...Tuwalinde tu! Hakuna namna...
 
Back
Top Bottom