JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Love you all my friends. ..
Judith Real-estate 20161116_034346.jpg
 
mwisho wa mkesha jamani hatimaye tumetoboa ASB. Tuamke tumuombe Mungu atusaidie tuwe na siku njema kisha tuwahi vibaruani.

tuombe;
"mwenyezi Mungu ninakushukuru kwa ajili ya siku nyingine ambayo umetujalia kuifikia, naomba REHEMA zako kwa siku hii njema utusaidie tuwapo kazini mwetu ikatuepushe na mabaya yote ambayo adui amepanga kuyafanya dhidi yetu, ponya familia zetu na ukabariko kazi za mikono yetu.

Naomba haya yote kwa jina na Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, AMEN.
 
wengine bado tupo humu; usingizi umepaa...haushikiki.🙁
 
Kweli ninerudi tena biere zikikwisha tu usingizi huo
 
Back
Top Bottom