JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Leo itabidi tutoe taarifa ya ulinzi majukwaa yote....wanatutegea!
 
Kazi za Ulinzi...

Me Nasubiria GAME za BAsketball NBA
 
Niliamka kupata haja ndogoo usingiz umegomaa nipo kwa bed tuu nachezea simu
 
Acha kabisaah team popozi ni shiida,kwenye sa 9 nahamia rock bottom then nikitoka naingia misa ya saa 12 church.
 
Nautazama usingizi uko pembeni mkalii had I nautamani,daaah,nijanga KUU mh
 
Nautazama usingizi uko pembeni mkalii had I nautamani,daaah,nijanga KUU mh
Mkuu mi ukikataga tu usingiz siubembelezi wala nini,naingia zangu mtaani muda huo huo then sa 11 narud kama ni siku ya kazini najiandaa nasepa kwa ofisi.
 
Back
Top Bottom