JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Sijawahi kurusha kamba humu, umkoan unasababisha iwe hivyo,

maana hata nikarusha na kudakwa, ikatokea ikadakwa Dar siwez fika huko
 
We mtata............basi tunga misemo yako ya kueleweka tuoine
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungejua hata huo utata sina nausikiaga tu redioni.
Nikiwa mkubwa wakati huo naitwa mhenga ndo nitatunga, saivi me bado kinda kabisa wacha nijifunze irabu na misamiati ya kutosha.[emoji39] [emoji125]
 
Back
Top Bottom