jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Ndo umekuja kunianika humu? Kesho tutaongea vzr uzirudishe looohIli iwejee, hafu jj zile laki mbili na Elfu sabini na tano nishazipata so anza kuongea na wazazi nije..
Sitaki tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo umekuja kunianika humu? Kesho tutaongea vzr uzirudishe looohIli iwejee, hafu jj zile laki mbili na Elfu sabini na tano nishazipata so anza kuongea na wazazi nije..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kabisa ndugu yangu ni majukumu tuu yamenibana ila soon nitarudi kwenye hali yangu. Tatizo la jirani yangu michepuko itammaliza
Duuuh huyu jamaa anasifika kwa michepuko eeehAsante,leo alisema hawezi tokeza huku sijui michepuko imembana
Hahaha sawa mshiki natumaini hutatukimbia kama jana[emoji39] [emoji6]Hahahahaha uck ulikuwa haujafika bhana kaka
Mhhhhh basi itakuwa hivyo kama namuona vile anavyofurahia alafu wamuibie tena aje kutushtakia, this time hatutamsikilizaAsante,leo alisema hawezi tokeza huku sijui michepuko imembana
Kumbe alishawahi ibiwa na michepuko[emoji23][emoji23]Mhhhhh basi itakuwa hivyo kama namuona vile anavyofurahia alafu wamuibie tena aje kutushtakia, this time hatutamsikiliza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe mbona unaonea hivyo? Kwako ni majukumu ila yeye mchepuko? Usikute mnachepuka wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Kumbe hujui muulize @NleterewaKumbe alishawahi ibiwa na michepuko[emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu aka kichwa kibaya njooo huku ujibu mashtaka
Ohooooh, kumbe na wewe umeshtuka mara paap wanatokea jukwaani kwa pamoja Mara paap wanapotea kwa pamoja[emoji42]Wewe mbona unaonea hivyo? Kwako ni majukumu ila yeye mchepuko? Usikute mnachepuka wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji125]Ndo umekuja kunianika humu? Kesho tutaongea vzr uzirudishe loooh
Sitaki tena
AhahahaaaaaaOhooooh, kumbe na wewe umeshtuka mara paap wanatokea jukwaani kwa pamoja Mara paap wanapotea kwa pamoja[emoji42]
Mara paap wote wanajisahau geti mpaka saa mbili asubuhi liko wazi [emoji12] [emoji40] [emoji85] [emoji125] (naota)
Ndo nimekuja kuaga, nahis kuna kazi ingine natakiwa kufanya muda sio mrefuHahaha sawa mshiki natumaini hutatukimbia kama jana[emoji39] [emoji6]
Uwiii nitauliza yeye kesho, naona nina overtime fulan sijaimaliza ngoja niende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana aiseeh jirani yangu kanishinda tabia namjua alisema hakuna jambo linalomkeep busy zaidi ya michepuko, akija muulize atakuhadithia [emoji3][emoji3]
Kweli unaotaOhooooh, kumbe na wewe umeshtuka mara paap wanatokea jukwaani kwa pamoja Mara paap wanapotea kwa pamoja[emoji42]
Mara paap wote wanajisahau geti mpaka saa mbili asubuhi liko wazi [emoji12] [emoji40] [emoji85] [emoji125] (naota)
Bye bye [emoji112]Uwiii nitauliza yeye kesho, naona nina overtime fulan sijaimaliza ngoja niende
Byyeee
Ohoooh mimi kwakweli tokea mwaka jana sijanywa maji kwaiyo sina mkojo wa kupima[emoji85] [emoji40] [emoji125] [emoji125]Kumbe hujui muulize @Nleterewa
Nn sasa unatoa macho hivyo?[emoji15] [emoji15] [emoji85] [emoji85] [emoji125]
Fanya mpango uhame uko sio sehemu nzuri mpaka kuku wanawika[emoji12]Jamani kuku zipo zinawika hukuu muda huu sio uchimvi kwelii..