JamiiForums Usiku wa manane

Wewe mbona unaonea hivyo? Kwako ni majukumu ila yeye mchepuko? Usikute mnachepuka wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana aiseeh jirani yangu kanishinda tabia namjua alisema hakuna jambo linalomkeep busy zaidi ya michepuko, akija muulize atakuhadithia [emoji3][emoji3]
 
Wewe mbona unaonea hivyo? Kwako ni majukumu ila yeye mchepuko? Usikute mnachepuka wote[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]
Ohooooh, kumbe na wewe umeshtuka mara paap wanatokea jukwaani kwa pamoja Mara paap wanapotea kwa pamoja[emoji42]
Mara paap wote wanajisahau geti mpaka saa mbili asubuhi liko wazi [emoji12] [emoji40] [emoji85] [emoji125] (naota)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…