JamiiForums Usiku wa manane

Ahahahaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] acha tuu ufutwe shogaangu sina huo uwezo wa kichwa kichafu maana ndio kabarikiwa sio kwa kugonga milango ya watu tuu bali na kupiga chabo pia [emoji23][emoji23]
Hahahah .....tena umenikumbusha kesi ya jirani yako KK, kukupiga chabo ukiwa unaoga!
Nawe upunguze majirani shoga yangu lol!
 
Ahahahaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119] acha tuu ufutwe shogaangu sina huo uwezo wa kichwa kichafu maana ndio kabarikiwa sio kwa kugonga milango ya watu tuu bali na kupiga chabo pia [emoji23][emoji23]
Wacha weee unaunga mkono hoja wakwanza kutia huruma utakua wewe ukifutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…