[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ohoooh mtu na jirani yake mnajuana vyema kumbe, mpaka mnafanya wote shopping kwenye duka la Mangi[emoji85] [emoji40]. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote[emoji40]
Ila jirani roho yako nzuri sana, hakika unahitajika kupata tuzo ya Nobel[emoji125]
Hahaha unaitwa utekaji wa kimataifa, kama ndo ivi ukimkosa ndugu yako ununio itabidi ukamtafute Mogadishu au Syria[emoji125]Hewaaa karibu utasema nishampata nasubili umfichue jamaa yangu mana si kwa utekaji huu
Ha ha haaa leo kaita majina tu hafu ndukiiiiAnaogopa kesi huyo balaah, kwa kifupi ni mzee wa kuruka vihunzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kwa iceman yupo vzr ndio kanifundisha teh teh tehUje unifundishe na mimi basi
Hii hiiDuh kwa id hii au m badala?
Kabisa mkuu sina shaka atarudi akiwa kanona kwa matunzoHahaha unaitwa utekaji wa kimataifa, kama ndo ivi ukimkosa ndugu yako ununio itabidi ukamtafute Mogadishu au Syria[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha unaitwa utekaji wa kimataifa, kama ndo ivi ukimkosa ndugu yako ununio itabidi ukamtafute Mogadishu au Syria[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha haaa leo kaita majina tu hafu ndukiiii
[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Manga [emoji115]huyo hayupo sawa usimuamini kwa lolote atakalosema
Haita noga mtu na shem wake ndo poa mana viutani havita kusekana hapoNenda kwa iceman yupo vzr ndio kanifundisha teh teh teh
Ahaa kumbe mnataalifiana kweli mnapendana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kawahi mchepuko wake
Hahaha mkuu hawa majirani wamenitamanisha na mimi kutafuta jirani, yani wameendana kama matofali. Kwa kweli waendelee na moyo huo huo wa kutekana na ch*bo[emoji85] [emoji125]Ha ha haaaa mkuu angalia usije hamia karibu mana si kwa misifa hii
Ha ha haaaa mbona unamkumbuka sana hafu upo mpaka mida hii mii si elewi elewi ujue?Guy's naenda kufua (in iceman 3D voice) love you all, and good morning [emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
Mfundishe mwenzio bhana, ujue nimetoka kukusifia muda sio mrefu, usiniangushe tafadhaliNenda kwa iceman yupo vzr ndio kanifundisha teh teh teh
Ha ha ha haaaa tafuta mkuu waeza bahatika na weweHahaha mkuu hawa majirani wamenitamanisha na mimi kutafuta jirani, yani wameendana kama matofali. Kwa kweli waendelee na moyo huo huo wa kutekana na ch*bo[emoji85] [emoji125]
hahahaha ni heri aje aseme mwenyewe nisije kuonekana najisifu atiOhooh, itabidi akiamka aje na maelezo yaliyojitosheleza, labda atuonyeshe sms M-pesa kutoka kwako ndo kutakua na utulivu[emoji40]
Amen Amen Amen[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeagizwa tupendane ndio nguzo na msingi imara maandiko yanatuasa kufanya hivyo
I miss my love so much, pass my greetings to him, mwambie neybright hawezi kufanya chochote pasipo kuona uwepo wake.Ha ha haaaa mbona unamkumbuka sana hafu upo mpaka mida hii mii si elewi elewi ujue?
Ohoooh Shemeji shemeji huku wazima taa, kizuri kula na nduguyo (wahenga bhana mimi siwaamini kabisa)[emoji40]Haita noga mtu na shem wake ndo poa mana viutani havita kusekana hapo