JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ohoooh mtu na jirani yake mnajuana vyema kumbe, mpaka mnafanya wote shopping kwenye duka la Mangi[emoji85] [emoji40]. Mrudishe basi hata umtupe ununio tukamwokote[emoji40]
Ila jirani roho yako nzuri sana, hakika unahitajika kupata tuzo ya Nobel[emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeagizwa tupendane ndio nguzo na msingi imara maandiko yanatuasa kufanya hivyo
 
Back
Top Bottom