JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Za jìoni jamani huku niliko ndo jua linazama ...bora hata mliokwisha lala
 
Boss wangu, Dada yetu Inna yupo?
Au Saint Ivuga alisha mvalisha pete?
Chelewa chelewa nimekuta mtoto si wangu.
Hahaa nipo rafk angu...ivuga atavalisha pete wangap sasa
 
Hata ningekusalimia usiniitikia......mbona Nleterewa Nganengo alikuwa ananichunia kila nikimsalimia?
Tafadhali usinichonganishe na shost yangu Neybright................
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hizo salamu kwa kweli sijaziona, au labda ulizituma kipitia barua?[emoji12]
Ngoja niendelee kuzisubiri[emoji40]
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
Mbona mmelala mazee? Upopo umewashinda?
 
Aaaah kumbe! Basi mwambie Nleterewa Nganengo kuwa nimekubali offer yake ya twisheni
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hakika umechagua fungu lililo jema[emoji39]
Siku nilizopotea nilikua nakuandalia welkam nyiu student[emoji6]
Manga ML weka bili ya viroba duka la mangi kwa mwaka mzima kwa kuniasist binti akaelewa somo[emoji120] [emoji125]
 
Back
Top Bottom