Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Tulikuwa kazini,sasa ndo twaenda kulalamkiamka mseme
usisahau kondomNgoja nipige nyeto goli moja la kumalizia usingizi...
Ndo ushaisha hivyo 5:11Hivi usiku mwisho saa ngapi?
mwisho mchanaHivi usiku mwisho saa ngapi?
Sa 11 kamili.Hivi usiku mwisho saa ngapi?
Hahaa nipo rafk angu...ivuga atavalisha pete wangap sasaBoss wangu, Dada yetu Inna yupo?
Au Saint Ivuga alisha mvalisha pete?
Chelewa chelewa nimekuta mtoto si wangu.
[emoji16][emoji16]una akili wew umelala na mkeo unawaza mchepukoMimi tangu saa nane nipo tu nawaza mchepuko wangu, maana tumezinguana tangu juzi
[emoji16][emoji16]una akili wew umelala na mkeo unawaza mchepuko
Bora utulindie uzi,maana naona watu leo wanakula zao bata..........wanamalizia weekendwacha nikeshe kwenye huu uzi leo
ni vizuri kumaliza mshahara mapema, pesa yenyewe imeshatangazwa haiongezwiBora utulindie uzi,maana naona watu leo wanakula zao bata..........wanamalizia weekend
Wenzetu wana mishahara mikubwa,yaani wiki ya pili hii bado wanakula mshahara...........kweli hakuna haja ya kuwaongezea mishahara!ni vizuri kumaliza mshahara mapema, pesa yenyewe imeshatangazwa haiongezwi
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hata ningekusalimia usiniitikia......mbona Nleterewa Nganengo alikuwa ananichunia kila nikimsalimia?
Tafadhali usinichonganishe na shost yangu Neybright................
Mbona mmelala mazee? Upopo umewashinda?Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmoja wapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nn kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11Asbh. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua nakunywa maji na kwenda kukojoa tu mpaka kukuche!
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Aaaah kumbe! Basi mwambie Nleterewa Nganengo kuwa nimekubali offer yake ya twisheni
Mkuu nimeielewa assist yako, kumfanya Bundi Thad aelewe somo sio kazi ndogo. Ila mkuu mpaka saivi sijaona kunishtua kabisa au umeamua kumfundisha mwenyewe[emoji40] [emoji3] [emoji125]Sawa jiandae tu nikimpata na wewe uwe tayar