Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Mmmh bado masaa 2 zamu yangu ya kulala ifike maana tunapokezana na wenzangu watatu...acha nikeshe kwenye huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Hahaha wasipokuja ndo tunahitimisha kesi kwamba tuhuma ni za kweli, bora wajitokeze wajitetee[emoji6]
Neybright kwakweli ana jirani mmoja tu Kichwa Kichafu ambae nimesikia hutekana Mara kwa Mara na wakati mwingine kupigana chabo[emoji40] [emoji85] [emoji125]
Hahaha kuku washakua wetu manati ya nini, wakileta ubishi we niite tu nina ushahidi usio na shaka[emoji12]Kama namuona jje's atakavyojitetea kuwa hakumbuki kilichoendelea.........huku KK akizikimbia tuhuma.
Lakini hebu kwanza.......kisheria,anayetuhumu anapaswa kuthibitisha. vp una uthibitisho wowote wa tuhuma hizi?
Nafurahi kukuona best......ungechelewa tu kidogo huyu mtu wa Mirembe day angekutuhumuNipo shost, nimejaa tele nawachungulia tuu [emoji6]
Najua bado yupo kwenye dozi ndio maana nimekuja faster asije nizulia balaah, na anavyopenda kutoa ushahidi mie hoiii [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nafurahi kukuona best......ungechelewa tu kidogo huyu mtu wa Mirembe day angekutuhumu
Hahahaha bibie karibu, jirani yako wamemteka wapi tena? Bundi Thad anamwulizia[emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zisiwe tu picha/video/audio za kutengeneza maana wabongo nyie hamshindwi kituHahaha kuku washakua wetu manati ya nini, wakileta ubishi we niite tu nina ushahidi usio na shaka[emoji12]
Hahaha na hizo ndo zitakua sare kwenye yale mafunzo yetu ujue[emoji39]Hahahah....hayo mavazi hayakufikaga huku kwetu Nanjilinji,umenitoa kapa
Umeona eeh! Naona huko Mirembe hakumsaidii kitu bora tumpeleke kwenye maombiNajua bado yupo kwenye dozi ndio maana nimekuja faster asije nizulia balaah, na anavyopenda kutoa ushahidi mie hoiii [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Karibu sana Bundi JodokiMmmh bado masaa 2 zamu yangu ya kulala ifike maana tunapokezana na wenzangu watatu...acha nikeshe kwenye huu uzi
Ahsante mkuuKaribu sana Bundi Jodoki
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nafurahi kukuona best......ungechelewa tu kidogo huyu mtu wa Mirembe day angekutuhumu
Kumbe bora nilivyoyakataa mapema maana.....lakini ngoja,kwamba na wewe utavaa gauni la criplin?Hahaha na hizo ndo zitakua sare kwenye yale mafunzo yetu ujue[emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Najua bado yupo kwenye dozi ndio maana nimekuja faster asije nizulia balaah, na anavyopenda kutoa ushahidi mie hoiii [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi hiyo sio kauli ya wahenga kweli?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uchochezi sasa huu, ujue hakuna kitu kizuri kama kumpenda jirani yako kama nafsi yako, [emoji12]
Ewaaah umeona wanavyoteteana, jje's hapa kuna kamchezo anatuchezea[emoji39]Jirani yangu kwakweli sijui kapatwa na nini, nikisema michepuko jje's anasema namsingizia kwahiyo sasahivi bora nikae kimya tuu
KabisaUmeona eeh! Naona huko Mirembe hakumsaidii kitu bora tumpeleke kwenye maombi